Zaburi 139:14
Zaburi 139:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Nakusifu maana nimefanywa kwa namna ya ajabu, matendo yako ni ya ajabu; wewe wanijua kabisakabisa.
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa Kwa njia ya ajabu ya kutisha. Matendo yako ni ya ajabu, Na nafsi yangu yajua sana
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa Kwa jinsi ya ajabu ya kutisha. Matendo yako ni ya ajabu, Na nafsi yangu yajua sana
Shirikisha
Soma Zaburi 139