Zaburi 139:10
Zaburi 139:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Huko nako mkono wako utaniongoza, Na mkono wako wa kuume utanishika.
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:10 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
hata huko mkono wako utaniongoza, mkono wako wa kuume utanishika kwa uthabiti.
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:10 Biblia Habari Njema (BHN)
hata huko upo kuniongoza; mkono wako wa kulia utanitegemeza.
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Huko nako mkono wako utaniongoza, Na mkono wako wa kulia utanishika.
Shirikisha
Soma Zaburi 139