Zaburi 131:1
Zaburi 131:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Moyo wangu hauna kiburi, Ee BWANA, macho yangu hayajivuni; sijishughulishi na mambo makuu kunizidi wala mambo ya ajabu mno kwangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 131Zaburi 131:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, sina moyo wa kiburi; mimi si mtu wa majivuno. Sijishughulishi na mambo makuu, au yaliyo ya ajabu mno kwangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 131