Zaburi 122:6-8
Zaburi 122:6-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Uombeeni Yerusalemu amani: “Wote wakupendao na wafanikiwe! Ndani ya kuta zako kuwe na amani, majumbani mwako kuweko usalama!” Kwa ajili ya jamaa na ndugu zangu, ee Yerusalemu, nakutakia amani!
Shirikisha
Soma Zaburi 122Zaburi 122:6-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uombeeni Yerusalemu amani; Na wafanikiwe wakupendao; Amani na ikae ndani ya kuta zako, Na kufanikiwa ndani ya majumba yako. Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu Niseme sasa, Amani ikae nawe.
Shirikisha
Soma Zaburi 122