Zaburi 121:5-6
Zaburi 121:5-6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA anakulinda, BWANA ni uvuli wako mkono wako wa kuume, jua halitakudhuru mchana, wala mwezi wakati wa usiku.
Shirikisha
Soma Zaburi 121Zaburi 121:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ni mlinzi wako; yuko upande wako wa kulia kukukinga. Mchana jua halitakuumiza, wala mwezi wakati wa usiku.
Shirikisha
Soma Zaburi 121