Zaburi 119:75
Zaburi 119:75 Biblia Habari Njema (BHN)
Najua hukumu zako ni adili, ee Mwenyezi-Mungu, na kwamba umeniadhibu kwani wewe ni mwaminifu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:75 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Najua ya kuwa hukumu zako ni za haki, Ee BWANA, na kwa uaminifu umenitesa.
Shirikisha
Soma Zaburi 119