Zaburi 119:59-60
Zaburi 119:59-60 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimeufikiria mwenendo wangu, na nimerudi nifuate maamuzi yako. Bila kukawia nafanya haraka kuzishika amri zako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:59-60 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ninapozitafakari njia zako, Naielekeza miguu yangu kwa shuhuda zako. Nilifanya haraka wala sikukawia, Kuyatii maagizo yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119