Zaburi 119:36
Zaburi 119:36 Biblia Habari Njema (BHN)
Unipe ari ya kuzingatia maamuzi yako, na si kwa ajili ya kupata faida isiyofaa.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:36 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Unielekeze moyo wangu katika shuhuda zako, Wala usiielekee tamaa.
Shirikisha
Soma Zaburi 119