Zaburi 119:169
Zaburi 119:169 Biblia Habari Njema (BHN)
Kilio changu kikufikie, ee Mwenyezi-Mungu! Unijalie akili kama ulivyoahidi.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:169 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, kilio changu na kikufikie, Unifahamishe sawasawa na neno lako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119