Zaburi 119:114
Zaburi 119:114 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe ni ngao yangu, kwako napata usalama; naweka tumaini langu katika neno lako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:114 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndiwe sitara yangu na ngao yangu, Neno lako nimelingojea.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:114 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ndiwe sitara yangu na ngao yangu, Neno lako nimelingojea.
Shirikisha
Soma Zaburi 119