Zaburi 113:5-7
Zaburi 113:5-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Nani aliye kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu? Yeye ameketi juu kabisa; lakini anatazama chini, azione mbingu na dunia. Humwinua fukara kutoka mavumbini; humnyanyua maskini kutoka unyonge wake
Shirikisha
Soma Zaburi 113Zaburi 113:5-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni nani aliye mfano wa BWANA, Mungu wetu aketiye juu; Anyenyekeaye kutazama, Mbinguni na duniani? Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Na kumpandisha maskini kutoka jaani.
Shirikisha
Soma Zaburi 113