Zaburi 110:1
Zaburi 110:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu amwambia bwana wangu: “Keti upande wangu wa kulia, hata niwaweke maadui zako chini ya miguu yako.”
Shirikisha
Soma Zaburi 110Zaburi 110:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Neno la BWANA kwa Bwana wangu, Uketi upande wangu wa kulia, Hadi niwafanyapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 110