Zaburi 103:2-4
Zaburi 103:2-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi-Mungu! Usisahau kamwe wema wake wote. Ndiye anayenisamehe uovu wangu wote, na kuniponya magonjwa yote. Ndiye aniokoaye kutoka kifoni, na kunijalia rehema na fadhili zake.
Shirikisha
Soma Zaburi 103Zaburi 103:2-4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA, wala usisahau wema wake wote, akusamehe dhambi zako zote, akuponya magonjwa yako yote, aukomboa uhai wako na kaburi, akuvika taji ya upendo na huruma
Shirikisha
Soma Zaburi 103