Zaburi 103:10-11
Zaburi 103:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye hatuadhibu kama tunavyostahili; hatulipizi kadiri ya uovu wetu. Kama vile anga lilivyo juu mbali na dunia, ndivyo ulivyo mwingi wema wake kwa watu wanaomcha.
Shirikisha
Soma Zaburi 103Zaburi 103:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hakututenda kulingana na hatia zetu, Wala hakutulipa kwa kadiri ya maovu yetu. Maana, kama mbingu zilivyoinuka juu ya nchi, Ndivyo fadhili zake zilivyo kuu kwa wamchao.
Shirikisha
Soma Zaburi 103