Zaburi 102:16-17
Zaburi 102:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ataijenga upya Siyoni, na kuonekana alivyo mtukufu. Ataikubali sala ya fukara; wala hatayakataa maombi yao.
Shirikisha
Soma Zaburi 102Zaburi 102:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA atakapokuwa ameijenga Sayuni, Atakapoonekana katika utukufu wake, Atakapoyaelekea maombi yake aliye mkiwa, Asiyadharau maombi yao.
Shirikisha
Soma Zaburi 102