Zaburi 101:2
Zaburi 101:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitazingatia mwenendo usio na hatia. Je, utakuja kwangu lini? Nitaishi kwa unyofu nyumbani kwangu
Shirikisha
Soma Zaburi 101Zaburi 101:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitakuwa na mwenendo usio na hatia; Utakuja kwangu lini? Nitakwenda kwa unyofu wa moyo Ndani ya nyumba yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 101