Zaburi 100:5
Zaburi 100:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ni mwema; fadhili zake zadumu milele, na uaminifu wake katika vizazi vyote.
Shirikisha
Soma Zaburi 100Zaburi 100:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana BWANA ni mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake katika vizazi vyote.
Shirikisha
Soma Zaburi 100Zaburi 100:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa kuwa BWANA ndiye mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake vizazi na vizazi.
Shirikisha
Soma Zaburi 100