Methali 31:8
Methali 31:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wewe, lazima useme kwa ajili ya wote walio bubu; na kutetea haki za wote wasiojiweza.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Fumbua kinywa chako kwa ajili yake aliye bubu; Uwatetee watu wote walioachwa peke yao
Shirikisha
Soma Methali 31