Methali 31:29
Methali 31:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Husema, “Wanawake wengi wametenda mambo ya ajabu, lakini wewe umewashinda wote.”
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote.
Shirikisha
Soma Methali 31