Methali 30:24-25
Methali 30:24-25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kuna viumbe vinne duniani vilivyo vidogo; Lakini vina akili nyingi sana. Chungu ni watu wasio na nguvu; Lakini hujiwekea chakula wakati wa joto.
Shirikisha
Soma Methali 30Methali 30:24-25 Biblia Habari Njema (BHN)
Kuna viumbe vinne vidogo sana duniani, lakini vina akili sana: Sisimizi: Wadudu wasio na nguvu, lakini hujihifadhia chakula wakati wa kiangazi
Shirikisha
Soma Methali 30