Methali 3:28
Methali 3:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Usimwambie jirani yako aende zake hadi kesho, hali wewe waweza kumpa anachohitaji leo.
Shirikisha
Soma Methali 3Methali 3:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usimwambie jirani yako, Nenda, urudi halafu, na kesho nitakupa; Nawe unacho kitu kile karibu nawe.
Shirikisha
Soma Methali 3