Methali 29:4
Methali 29:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfalme akitumia haki huipatia nchi uthabiti, lakini akipenda hongo taifa huangamia.
Shirikisha
Soma Methali 29Methali 29:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mfalme huithibitisha nchi kwa hukumu; Bali yeye apokeaye rushwa huipindua.
Shirikisha
Soma Methali 29Methali 29:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mfalme huithibitisha nchi kwa hukumu; Bali yeye apokeaye rushwa huipindua.
Shirikisha
Soma Methali 29