Methali 29:23
Methali 29:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Kiburi cha mtu humporomosha mwenyewe, lakini mnyenyekevu wa roho atapata heshima.
Shirikisha
Soma Methali 29Methali 29:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kiburi cha mtu kitamshusha; Bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa.
Shirikisha
Soma Methali 29