Methali 27:10
Methali 27:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Usisahau rafiki zako wala wa baba yako. Ukipatwa na janga usikimbilie kwa nduguyo; afadhali jirani aliye karibu kuliko ndugu aliye mbali.
Shirikisha
Soma Methali 27Methali 27:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usimwache rafiki yako mwenyewe, wala rafiki ya baba yako, Wala usiende nyumbani mwa ndugu yako siku ya msiba wako. Afadhali jirani aliye karibu kuliko ndugu aliye mbali.
Shirikisha
Soma Methali 27