Methali 26:12
Methali 26:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Wamwona mtu ajionaye kuwa mwenye hekima? Nakuambia mpumbavu ni nafuu kuliko huyo.
Shirikisha
Soma Methali 26Methali 26:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Wamwona mtu mwenye hekima machoni pake mwenyewe? Afadhali kumtumaini mpumbavu kuliko yeye.
Shirikisha
Soma Methali 26