Methali 25:18
Methali 25:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu atoaye ushahidi wa uongo dhidi ya mwenziwe, ni hatari kama rungu, upanga au mshale mkali.
Shirikisha
Soma Methali 25Methali 25:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu amshuhudiaye jirani yake uongo Ni nyundo, na upanga, na mshale mkali.
Shirikisha
Soma Methali 25