Methali 25:13
Methali 25:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mjumbe mwaminifu humfurahisha yule aliyemtuma, kama maji baridi wakati wa joto la mavuno.
Shirikisha
Soma Methali 25Methali 25:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kama baridi ya theluji wakati wa mavuno; Ndivyo alivyo mjumbe mwaminifu kwao wamtumao; Kwa maana huwaburudisha bwana zake nafsi zao.
Shirikisha
Soma Methali 25