Methali 22:29
Methali 22:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, yuko mtu mwenye maarifa kazini mwake? Huyo atawatumikia wafalme; hatawapa huduma yake watu wasiofaa.
Shirikisha
Soma Methali 22Methali 22:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Wamwona mtu mwenye bidii katika kazi zake? Huyo atasimama mbele ya wafalme; Hatasimama mbele ya watu wasio na cheo.
Shirikisha
Soma Methali 22