Methali 21:25-26
Methali 21:25-26 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Matakwa yake mtu mvivu humfisha, Kwa maana mikono yake hukataa kufanya kazi. Kuna atamaniye kwa choyo mchana kutwa; Bali mwenye haki hutoa wala hanyimi.
Shirikisha
Soma Methali 21Methali 21:25-26 Biblia Habari Njema (BHN)
Mvivu hufa kwa kutotimizwa tamaa zake, maana mikono yake milegevu haitaki kufanya kazi. Mchana kutwa mwovu hutamani kupata kitu, lakini mwadilifu hutoa, tena kwa ukarimu.
Shirikisha
Soma Methali 21