Methali 21:20
Methali 21:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyumbani kwa mwenye busara mna hazina za thamani, lakini mpumbavu huponda mali yake yote.
Shirikisha
Soma Methali 21Methali 21:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kuna hazina ya thamani na mafuta katika maskani ya mwenye hekima; Bali mwanadamu aliye mpumbavu huyameza.
Shirikisha
Soma Methali 21