Methali 19:14
Methali 19:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa wazee wake, lakini mke mwenye busara hutoka kwa Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Methali 19Methali 19:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA.
Shirikisha
Soma Methali 19