Methali 19:11
Methali 19:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenye busara hakasiriki upesi; kusamehe makosa ni fahari kwake.
Shirikisha
Soma Methali 19Methali 19:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Busara ya mtu huiahirisha hasira yake; Nayo ni fahari yake kusamehe makosa.
Shirikisha
Soma Methali 19