Methali 18:24
Methali 18:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Marafiki wengi waweza kumwangusha mtu, lakini wapo marafiki waaminifu kuliko ndugu.
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ajifanyiaye marafiki wengi ni kwa maangamizi yake mwenyewe; Lakini yuko rafiki aambatanaye na mtu kuliko ndugu.
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ajifanyiaye rafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe; Lakini yuko rafiki aambatanaye na mtu kuliko ndugu.
Shirikisha
Soma Methali 18