Methali 18:1
Methali 18:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayetafuta yake tu hujitenga na wenzake; hukasirika akipewa shauri lolote jema.
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ajitengaye na wenzake hutafuta matakwa yake mwenyewe; Hushindana na kila shauri jema.
Shirikisha
Soma Methali 18