Methali 17:15
Methali 17:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Kumsamehe mwenye hatia na kumwadhibu asiye na hatia yote mawili ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Methali 17Methali 17:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye asemaye kwamba asiye haki ana haki; naye asemaye kwamba mwenye haki hana haki; Hao wote wawili ni chukizo kwa BWANA.
Shirikisha
Soma Methali 17