Methali 16:32
Methali 16:32 Biblia Habari Njema (BHN)
Asiye mwepesi wa hasira ni bora kuliko mwenye nguvu; aitawalaye nafsi yake ni bora kuliko autekaye mji.
Shirikisha
Soma Methali 16Methali 16:32 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Asiye mwepesi wa hasira ni mwema kuliko shujaa; Na mtu aitawalaye roho yake kuliko mtu atekaye mji.
Shirikisha
Soma Methali 16