Methali 16:1
Methali 16:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mipango ya moyoni ni ya mwanadamu, bali jibu la ulimi hutoka kwa BWANA.
Shirikisha
Soma Methali 16Methali 16:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Binadamu hupanga mipango yake, lakini kauli ya mwisho ni yake Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Methali 16