Methali 14:28
Methali 14:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Fahari ya mfalme ni wingi wa watu wake, lakini bila watu mtawala huangamia.
Shirikisha
Soma Methali 14Methali 14:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utukufu wa mfalme ni wingi wa watu wake; Bali uchache wa watu ni uharibifu wa mkuu wao.
Shirikisha
Soma Methali 14