Methali 13:6
Methali 13:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Uadilifu huwalinda wenye mwenendo mnyofu, lakini dhambi huwaangusha waovu.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Haki humlinda yeye aliye mnyofu katika njia yake; Bali ubaya humwangusha mwenye dhambi.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Haki humlinda yeye aliye mnyofu katika njia yake; Bali ubaya humwangusha mwenye dhambi.
Shirikisha
Soma Methali 13