Methali 13:22
Methali 13:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu mwema huwaachia urithi uzao wake, lakini mali ya mwenye dhambi imerundikiwa waadilifu.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa mwenye haki.
Shirikisha
Soma Methali 13