Methali 13:18
Methali 13:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Umaskini na fedheha humpata asiyejali mafundisho, lakini mwenye kusikia maonyo huheshimiwa.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umaskini na fedheha zitampata yeye akataaye kurudiwa; Bali yeye aangaliaye maonyo ataheshimiwa.
Shirikisha
Soma Methali 13