Methali 13:16
Methali 13:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenye busara hutenda kila kitu kwa akili, lakini mpumbavu hutembeza upumbavu wake.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila aliye na busara hutenda kazi kwa maarifa; Bali mpumbavu hueneza upumbavu.
Shirikisha
Soma Methali 13