Methali 10:19
Methali 10:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Penye maneno mengi hapakosekani makosa, lakini aneyeuzuia ulimi wake ana busara.
Shirikisha
Soma Methali 10Methali 10:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika wingi wa maneno hapakosi kuwa na maovu; Bali yeye azuiaye midomo yake hufanya akili.
Shirikisha
Soma Methali 10Methali 10:19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Katika wingi wa maneno hapakosi kuwa na maovu; Bali yeye azuiaye midomo yake hufanya akili.
Shirikisha
Soma Methali 10