Methali 10:17
Methali 10:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayekubali maonyo anaelekea kwenye uhai, lakini anayekataa kuonywa amepotoka.
Shirikisha
Soma Methali 10Methali 10:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akubaliye kurudiwa huwa katika njia ya uzima; Bali yeye aachaye maonyo hukosa.
Shirikisha
Soma Methali 10Methali 10:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akubaliye kurudiwa huwa katika njia ya uzima; Bali yeye aachaye maonyo hukosa.
Shirikisha
Soma Methali 10