Wafilipi 4:9
Wafilipi 4:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Tekelezeni yale mliyojifunza na kupokea kutoka kwangu; mambo mliyosikia nimesema na kuona nimeyatenda. Naye Mungu anayetujalia amani atakuwa pamoja nanyi.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mambo mliyojifunza kwangu na kuyapokea, na kuyasikia na kuyaona kwangu, yatendeni hayo; na Mungu wa amani atakuwa pamoja nanyi.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mambo mliyojifunza kwangu na kuyapokea, na kuyasikia na kuyaona kwangu, yatendeni hayo; na Mungu wa amani atakuwa pamoja nanyi.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4