Wafilipi 4:6
Wafilipi 4:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Msiwe na wasiwasi juu ya kitu chochote, ila kwa kila hali, mwombeni Mungu katika sala juu ya mahitaji yenu, kwa shukrani.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msijisumbue kwa neno lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4