Wafilipi 4:4-6
Wafilipi 4:4-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, furahini daima katika kuungana na Bwana! Nasema tena: Furahini! Upole wenu ujulikane kwa watu wote. Bwana yu karibu. Msiwe na wasiwasi juu ya kitu chochote, ila kwa kila hali, mwombeni Mungu katika sala juu ya mahitaji yenu, kwa shukrani.

Wafilipi 4:4-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Furahini katika Bwana sikuzote; tena nasema, Furahini. Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yuko karibu. Msijisumbue kwa neno lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.
Wafilipi 4:4-6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Furahini katika Bwana sikuzote; tena nasema, Furahini. Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu. Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.
Wafilipi 4:4-6 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Furahini katika Bwana Isa siku zote, tena nasema furahini! Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana Isa yu karibu. Msijisumbue kwa jambo lolote, bali katika kila jambo kwa kuomba na kusihi pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.