Wafilipi 4:4
Wafilipi 4:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, furahini daima katika kuungana na Bwana! Nasema tena: Furahini!
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Furahini katika Bwana sikuzote; tena nasema, Furahini.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Furahini katika Bwana sikuzote; tena nasema, Furahini.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4