Wafilipi 4:19-20
Wafilipi 4:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Mungu wangu, kwa utajiri wake mkuu kwa njia ya Kristo, atawapeni mahitaji yenu yote. Utukufu uwe kwa Mungu wetu na Baba yetu, milele na milele. Amina.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:19-20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Mungu wangu atawajazeni kila mnachokihitaji kwa kadiri ya utajiri wake, katika utukufu, ndani ya Kristo Yesu. Sasa atukuzwe Mungu, Baba yetu, milele na milele. Amina.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:19-20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na Mungu wangu atawajazeni kila mnachokihitaji kwa kadiri ya utajiri wake, katika utukufu, ndani ya Kristo Yesu. Sasa atukuzwe Mungu, Baba yetu, milele na milele. Amina.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4