Wafilipi 3:10
Wafilipi 3:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Ninachotaka tu ni kumjua Kristo na kuiona nguvu ya ufufuo wake, kushiriki mateso yake na kufanana naye katika kifo chake
Shirikisha
Soma Wafilipi 3Wafilipi 3:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ili nimjue yeye, na uweza wa kufufuka kwake, na ushirika wa mateso yake, nikifananishwa na kufa kwake
Shirikisha
Soma Wafilipi 3